Happy Birthday Heaven Sent

Happy Birthday Heaven Sent

Libarikiwe mno Tumbo lililombeba binti huyu.

Kwa namna ya Pekee Sana amekuwa msaada Sana kwa namna chanya kwenye haya maisha ya Kiroho, (Kupitia Maandishi yake kuna gumu lilinisibu akanivusha).

Happy belated birthday Heaven Sent. Mungu azidi kukujalia umri mrefu na maisha yako yawe yenye furaha, amani na uendelee kuwa baraka kwa Wengine.
Asante sana. Tumbo lishabarikiwa, piga goti ombea na mifuko sasa.
 
Back
Top Bottom