Happy Birthday Heaven Sent

Happy Birthday Heaven Sent

Libarikiwe mno Tumbo lililombeba binti huyu.

Kwa namna ya Pekee Sana amekuwa msaada Sana kwa namna chanya kwenye haya maisha ya Kiroho, (Kupitia Maandishi yake kuna gumu lilinisibu akanivusha).

Happy belated birthday Heaven Sent. Mungu azidi kukujalia umri mrefu na maisha yako yawe yenye furaha, amani na uendelee kuwa baraka kwa Wengine.

Glory be to the Mighty God of Israel for my story. Ahsante sana mpendwa
 
Libarikiwe mno Tumbo lililombeba binti huyu.

Kwa namna ya Pekee Sana amekuwa msaada Sana kwa namna chanya kwenye haya maisha ya Kiroho, (Kupitia Maandishi yake kuna gumu lilinisibu akanivusha).

Happy belated birthday Heaven Sent. Mungu azidi kukujalia umri mrefu na maisha yako yawe yenye furaha, amani na uendelee kuwa baraka kwa Wengine.
Mkuu kwema[emoji120] [emoji120]
 
When I count my blessings, I count you twice,
For you dear friend are sugar and spice.
Birthday wishes from my heart do flow
to sit by your side as the candles you blow,
Happy belated birthday big sisy
 
Kwema Sana Mkuu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeadimika mno, toka uwekwe mtu Kati siku zile na "Wabeijing" hawa ukaamua kutokomea kusipojulikana.

Good to see you though!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nipo mkuu,kwa nadra huwa nakutana na shemeji yangu espy. Kuzaliwa kwa anko HS kumeniibua mashambani ili nije niinjoike nae mjini.
 
Back
Top Bottom