Happy Birthday Hrithic Roshan

yaaan huyu kwa kumtazama tu anaonekana mtamu and gentleman
sasa sijui.................happy birthday mr jadoo
 
Jamani hawa wakaka wa hivi mbona wanaishi mbali tu napataga hasira basi tu
 
Mkuu....
Naomba kujua Jinsia yako tafadhali, na kama hauto jali.
Samahani kwa kutoka nje ya mada, maana kuna kitu nakiwaza hapa...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Vp mkuu,unawaza KATERERO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…