Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Leo ni siku ya kuzaliwa gwiji wa sinema za kihindi ajulikanae kama hrithic roshan au mr jadooo
Anatimiza jumla ya miaka 43
Anatimiza jumla ya miaka 43
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh washaachana na Suzanne tayali[emoji15] [emoji15] [emoji15]hbd hrthik nakuelewaga sana tu natamani usingedovorce ni Suzanne khan
Mmmmmmhhhhhyaaan huyu kwa kumtazama tu anaonekana mtamu and gentleman
sasa sijui.................happy birthday mr jadoo
wameachana toka 2015 km sikosei vileduh washaachana na Suzanne tayali[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Suzan yupi huyo aliacha kifaa jamanihbd hrthik nakuelewaga sana tu natamani usingedovorce ni Suzanne khan
Hrithik na Suzzane...Suzan yupi huyo aliacha kifaa jamani
Vp mkuu,unawaza KATERERO?Mkuu....
Naomba kujua Jinsia yako tafadhali, na kama hauto jali.
Samahani kwa kutoka nje ya mada, maana kuna kitu nakiwaza hapa...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Umemic kupigwa katerero?Jamani hawa wakaka wa hivi mbona wanaishi mbali tu napataga hasira basi tu
Mbona tupo kama yeye hapa bongo..tutafute walau unaweza zawadiwa mtotoJamani hawa wakaka wa hivi mbona wanaishi mbali tu napataga hasira basi tu
We unamfikia huyo hata kidogo,kuanzi body lake la mazoez!?Mbona tupo kama yeye hapa bongo..tutafute walau unaweza zawadiwa mtoto
Haswa na mkaka mzuriiiiiii kama huyoUmemic kupigwa katerero?