Happy Birthday Hrithic Roshan

Happy Birthday Hrithic Roshan

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Leo ni siku ya kuzaliwa gwiji wa sinema za kihindi ajulikanae kama hrithic roshan au mr jadooo


Anatimiza jumla ya miaka 43


Screenshot_2017-01-11-22-12-04_1.jpg
 
yaaan huyu kwa kumtazama tu anaonekana mtamu and gentleman
sasa sijui.................happy birthday mr jadoo
 
Jamani hawa wakaka wa hivi mbona wanaishi mbali tu napataga hasira basi tu
 
Mkuu....
Naomba kujua Jinsia yako tafadhali, na kama hauto jali.
Samahani kwa kutoka nje ya mada, maana kuna kitu nakiwaza hapa...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Vp mkuu,unawaza KATERERO?
 
Back
Top Bottom