Happy birthday ibra87

Kwenye profile ya ibra87 hiyo title ya RIP ni mods ndio wameweka au ?
Huwa inawekwa pale member anapothibitika kweli amekufa si yeye tu hata members wengine waliotangulia na wakathibika wamewekewa hiyo
 
Aisee

Mungu amrehemu

Sikujua kama ni huyu aise

Ingawa huu uzi ni wa zamani... 2015
Mkuu.....
Kuanzia leo misitaki utani na wewe kabsaaaaaa.....[emoji135] [emoji135] [emoji135]
Maana nimeogopa kabisa, naona unamzidi mshana kwa nguvu flani....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hamna kitu Mkuu.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…