Lost Doctor
Member
- Apr 4, 2015
- 48
- 94
Go in peace mkuu,nmejifunza ntaishi vizuri na watu huku duniani tunapita tu, threads zako znaonesha ulikua na moyo wa pekee.R.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana,ulimtakia maisha marefu lakini Mungu kampenda zaidiHappy birthday shem lake ibra87 Mungu akupe maisha marefu Yenye ukamilifu.
Kuna watu wengine wakiongea inakuwa kweli.Kweli maneno uumba.Aisee
Duuuh! We ni hatar.Happy birthday.....
Hongera
(Ila ujue umepunguza miaka yako ya kuwepo duniani..... haha jokes)
Amefarik mkuuHappy birthday.....
Hongera
(Ila ujue umepunguza miaka yako ya kuwepo duniani..... haha jokes)
mfukua makaburiR I P ibra
Huwa inawekwa pale member anapothibitika kweli amekufa si yeye tu hata members wengine waliotangulia na wakathibika wamewekewa hiyoKwenye profile ya ibra87 hiyo title ya RIP ni mods ndio wameweka au ?
Duhh........[emoji87] [emoji87]Happy birthday.....
Hongera
(Ila ujue umepunguza miaka yako ya kuwepo duniani..... haha jokes)
Duhh.......[emoji45] [emoji45] [emoji45]Happy birthday.....
Hongera
(Ila ujue umepunguza miaka yako ya kuwepo duniani..... haha jokes)
acha utani wa ngumi wewe
Duuuh! We ni hatar.
Amefarik mkuu
Duhh........[emoji87] [emoji87]
Hatimae utabiri wako umetimia
Duhh.......[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Maisha ni mafupi sanaa[emoji30]aiseee!!!! Hivi inaweza kufika kweli?
acha utani wa ngumi wewe
Happy birthday.....
Hongera
(Ila ujue umepunguza miaka yako ya kuwepo duniani..... haha jokes)
Happy birthday.....
Hongera
(Ila ujue umepunguza miaka yako ya kuwepo duniani..... haha jokes)
Hauogopi eeehKhaa... uainiwish happybithday athee...
RIP Ibra87
2015 ni zamani? Wewe una balaa usinifanye nicheke msibaniAisee
Mungu amrehemu
Sikujua kama ni huyu aise
Ingawa huu uzi ni wa zamani... 2015
Mkuu.....Aisee
Mungu amrehemu
Sikujua kama ni huyu aise
Ingawa huu uzi ni wa zamani... 2015
Hamna kitu Mkuu.......Mkuu.....
Kuanzia leo misitaki utani na wewe kabsaaaaaa.....[emoji135] [emoji135] [emoji135]
Maana nimeogopa kabisa, naona unamzidi mshana kwa nguvu flani....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Duhh........[emoji15] [emoji15] [emoji15]Hamna kitu Mkuu.......
HahahDuhh........[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hapana kwakweli, yaani hapa bado natafakari sana aiseeeeee