Happy birthday ICHANA

Happy birthday ICHANA

thanks much charty kwa ujumbe mzuri ...miaka yoote ijaliwe na hekima kama ya solomoni ...
mm kwenye kula wala usipate shida nakula kama mchwa pika kingi mm sivungi kwenye kula bby

Na ulivyo fudi monga sasa,leo msosi utakukomaje! charty huyu apakuliwe baada ya mshana jr
 
Last edited by a moderator:
thanks much charty kwa ujumbe mzuri ...miaka yoote ijaliwe na hekima kama ya solomoni ...
mm kwenye kula wala usipate shida nakula kama mchwa pika kingi mm sivungi kwenye kula bby

Happy birthday ICHANA Mungu akujalie afya tele...
 
Last edited by a moderator:
ICHANA
kheri ya kuzaliwa
Mungu akupe hekima busara na maisha marefu yenye baraka
Mimi penda sana wewe haswa unapokuwa kazini.
Boss: Kibo10
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom