Happy birthday ICHANA

Last edited by a moderator:
mwenza hao dawa yao ni kujaza mipilipili utaona hata kijiko hawamalizi lol!
shansarie atakuwa kalala ngoja nikammwagie maji ya baridi

Itabidi iwe hivyo mwenza vinginevyo hawa leo watatuaibisha.. Madame B nae simwoni na yuko kitengo cha kukaribisha wageni
 
Last edited by a moderator:
asante sana my boss...amina mungu atende kwa uliloniombea.
unarudi lini boss na mali mpya
siwez kuregret kupata boss kama wewe.
ICHANA
kheri ya kuzaliwa
Mungu akupe hekima busara na maisha marefu yenye baraka
Mimi penda sana wewe haswa unapokuwa kazini.
Boss: Kibo10
 
valle akija yule sherehe kwishneey disco kaingia mmasai utaenda home moja kwa moja .....mpulizie dawa ya usingizi aendelee kulala

Yani naenda kumwongezea valiam kwenye win aendelee kulala siku nzima
 
ICHANA
kheri ya kuzaliwa
Mungu akupe hekima busara na maisha marefu yenye baraka
Mimi penda sana wewe haswa unapokuwa kazini.
Boss: Kibo10

Mmh hebu ninong'oneze unampenda upendo gani?
 
Last edited by a moderator:
Hahaha haya kipenzi nasubiri nikikabidhiwa kipaza sauti nitiririke kutoa ujumbe...

asante sana Watu8 kwa kusherekea na mimi siku hii muhimu katika maisha ...nafasi yako ya kutoa ujumbe ipo baada ya baba ...get prepared lol
 
Last edited by a moderator:
nakuaminia its sound soo mwaaaaaah full mipoint ....pata kinwaji laini utoe ujumbe mzito
Hahaha haya kipenzi nasubiri nikikabidhiwa kipaza sauti nitiririke kutoa ujumbe...
 
Kukupenda nakupenda kweli, ah sikatai.

Uwepo ni mzuri, maishani nafurahi.


Ila yamoto yamoto, mapenzi.
Mapenzi ya kitoto, ya kitoto, mi siwezi

Usiende mbali nami kwani bado nakupenda,,,usiondoke mbali nami kwani bado nakupenda,,nakupenda wanipenda usije kwenda mbali nami

Mimi kua nawewe nifuraha,kukosa hata saa nikaraha
 
hahahaaa HAPPY B'DAY ICHANA ... may the almighty lord grant you all your desires .. wishing u happy moments to come...GROW BIG with STRONG MIND..
tena bado sijakuruhusu ufungue mdomo bidada valentine ntakununia hadi basdei nyingineee... ladyfurahia nasikia koo linanikereketaaaaaaa ..
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1433163500611.jpg
    13 KB · Views: 50
  • 1433163516401.jpg
    15.4 KB · Views: 49
  • 1433163528800.jpg
    17.9 KB · Views: 50
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…