hahahaaa HAPPY B'DAY ICHANA ... may the almighty lord grant you all your desires .. wishing u happy moments to come...GROW BIG with STRONG MIND..
tena bado sijakuruhusu ufungue mdomo bidada valentine ntakununia hadi basdei nyingineee... ladyfurahia nasikia koo linanikereketaaaaaaa ..
thanks soo much for the wishes my lord lead my life...amen.pokea baraka kama ulivyotoa kwa moyo wa upendo
acha tu alee hatubanii atakula na kusaza..na atabeba vyakula vya kula the whole month..valentina acha roho ya korosho hapa hamna kupakuliana....
no my dia hapa kwa watu woote wewe tu ila watoto hapanaLady Ichana nilijua za specials tu
hahahaaa HAPPY B'DAY ICHANA ... may the almighty lord grant you all your desires .. wishing u happy moments to come...GROW BIG with STRONG MIND..
tena bado sijakuruhusu ufungue mdomo bidada valentine ntakununia hadi basdei nyingineee... ladyfurahia nasikia koo linanikereketaaaaaaa ..
Ni novida tehe...
Ha haaa bora uniachie kabla sijakutenya
acha tu alee hatubanii atakula na kusaza..na atabeba vyakula vya kula the whole month..valentina acha roho ya korosho hapa hamna kupakuliana....
no my dia hapa kwa watu woote wewe tu ila watoto hapana