inamaana huo mkwara haujakutisha kitu eenh!?
Senkyuu sana. Ila kipande cha keki ntakutumia kwa bus la Ngorika
Aah wapi sitishika,baunsa wangu Nyani Ngabu yupo pembeni yangu
'Valentina' nshapata ruksa ya kunong'onezwa nawe...du ze nidfulunanitunishia msuli kwa kuwa nataka kuoa nyumbani kwako.. unantaftie sababu uninyime mke... HAYA BASI MEKURUHUSU MWAMBIE HUYO Watu8 wako 🙁🙁🙁🙁🙁
Ha haaa lazima ikufikie hata kwa baiskel ya miti
Bora umesarenda mwenyewe vinginevyo ningekunyima binti yangu:sly:😱
Nakusemea kwa Watu8 umemwambia anafamilia kubwa kama tim ya mpira tena arsenal
'Valentina' nshapata ruksa ya kunong'onezwa nawe...du ze nidful
hahahaaaaaaa mi simooooo... kwanza watu wanashindwa kufungua VODKA ya mtoto wa basdei wao wanaitikisa kama champagne.. uje na mfungua vodka fastaa
Ina maana hii sherehe sijaalikwa ama?Naona kama sijielewi elewi.
Sweet nimempa dereva kadi yako tangia a Asubuh kaniambia yupo namanga. ..huyu ndorobo atakuwa namanga ya arusha