Happy birthday ICHANA

Happy birthday ICHANA

unanitunishia msuli kwa kuwa nataka kuoa nyumbani kwako.. unantaftie sababu uninyime mke... HAYA BASI MEKURUHUSU MWAMBIE HUYO Watu8 wako 🙁🙁🙁🙁🙁

Bora umesarenda mwenyewe vinginevyo ningekunyima binti yangu:sly:😱

Nakusemea kwa Watu8 umemwambia anafamilia kubwa kama tim ya mpira tena arsenal
 
Last edited by a moderator:
Bora umesarenda mwenyewe vinginevyo ningekunyima binti yangu:sly:😱

Nakusemea kwa Watu8 umemwambia anafamilia kubwa kama tim ya mpira tena arsenal

hahahaaaaaaa mi simooooo... kwanza watu wanashindwa kufungua VODKA ya mtoto wa basdei wao wanaitikisa kama champagne.. uje na mfungua vodka fastaa
 
Last edited by a moderator:
naomba Asprin usipaone kwa maana ananidai ........atanionesha kuwa uzee sio tija na chipsi yai naqo wana mbegu

Usimuogope huyo babu,meno yake yameisha makali huyo. Akizingua muitie Filipo ndio komesha yake
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaaaa mi simooooo... kwanza watu wanashindwa kufungua VODKA ya mtoto wa basdei wao wanaitikisa kama champagne.. uje na mfungua vodka fastaa

Hee! Kwani Malalika si ndio mfungua visude jamani? Mtafute kule karibu na mziki ukute anaserebuka kabla ya kazi
 
Last edited by a moderator:
Aiseeee!!!!

Mwambie na bado wengine wanaendelea kutotolewa...teh teh!!!

Anataka aoe kwako sema hajiamini namna ya kukuingilia...sasa ngoja nikunong'oneze kuliko umuozeshe yeye bora umpe Walas Ba mwanao
 
Last edited by a moderator:
Ahhh ha aha ha Vale vale vale Valentinaaa! ok! sawa ila isiingie michanga basi maana

Mashart na vigezo vimezingatiwa. Itakufikia ikiwa salama kabisa. Ikiharibika ntaanza kuituma upya
 
Sweet nimempa dereva kadi yako tangia a Asubuh kaniambia yupo namanga. ..huyu ndorobo atakuwa namanga ya arusha

Najua siku hizi hunipendi.Mume wangu mnashare jengo moja hapo ofisini kwenu ungetaka ungeniambia.
Na wewe Valentina si mume nilishakuachia sasa unanionea wivu wa nini hadi usinialike?😎
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom