Hahahahahahaha!!!!........kwako Eli79 hapana aiseee! utanipa presha za vikombe kila siku bora nicheze na wazee vijana niwe kama legend.
Hahaha. everlenk unakataa kuwa Alexis mara hii. Utatupia zaidi ya ishirini kwa msimu huu tu..hata Thierry hakutupia hivyo..hem kuja huku uwe striker wangu tutupiemo..lol
Wewe yakwako hii
Hahahaha!!! Naogopa miye hayo majukumu ya striker noma huchelewi kusema kiwango kiko chini bora niende galaxy nikiwa na heshima zangu bado.... Lol
Toka lini mie nikawa busy na kaka yangu jamani????Mie niko busy na my hubby ila sitaki umjue maana hauchelewi kunikuruuuunzinzaaa
Dawa nshaijua wewe
Hahaaaaaa...hakyanani sikuwezi! Na kweli ukishindwa kutupia nakupeleka MLS!!
Unaona sasa mimi nilikuwa nakutega tu wewe utanichoka mapema!!..... Wewe mimi bado mbichi kabisa huyo Alexis haoni ndani yaani mi ni bonge la Striker bado tena hizo ligi zenu kama za England za midomoni hazinifai niko na ligi matata duniani tena kny vilabu vikubwa km Barca, R.Madrid,Bayern ......lol
Angalia usije ukalewa tu.