Happy birthday ICHANA

Happy birthday ICHANA

Hahahahahahaha!!!!........kwako Eli79 hapana aiseee! utanipa presha za vikombe kila siku bora nicheze na wazee vijana niwe kama legend.

Hahaha. everlenk unakataa kuwa Alexis mara hii. Utatupia zaidi ya ishirini kwa msimu huu tu..hata Thierry hakutupia hivyo..hem kuja huku uwe striker wangu tutupiemo..lol
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1433191318519.jpg
    1433191318519.jpg
    16.8 KB · Views: 47
Hahaha. everlenk unakataa kuwa Alexis mara hii. Utatupia zaidi ya ishirini kwa msimu huu tu..hata Thierry hakutupia hivyo..hem kuja huku uwe striker wangu tutupiemo..lol

Hahahaha!!! Naogopa miye hayo majukumu ya striker noma huchelewi kusema kiwango kiko chini bora niende galaxy nikiwa na heshima zangu bado.... Lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha!!! Naogopa miye hayo majukumu ya striker noma huchelewi kusema kiwango kiko chini bora niende galaxy nikiwa na heshima zangu bado.... Lol

Hahaaaaaa...hakyanani sikuwezi! Na kweli ukishindwa kutupia nakupeleka MLS!!
 
Toka lini mie nikawa busy na kaka yangu jamani????Mie niko busy na my hubby ila sitaki umjue maana hauchelewi kunikuruuuunzinzaaa

Mwambie Valentina kwamba Ntuzu ametekwa na everlenk, ule Uzi wa wanaume wa kisukuma uliwasifia kaka zako na wenyewe wakajinadi sana sasa nataka nimuonje kaka yako nione zile sifa anakidhi au uongo?.....lol
 
Last edited by a moderator:
Mwambie Valentina kwamba Ntuzu ametekwa na everlenk, ule Uzi wa wanaume wa kisukuma uliwasifia kaka zako na wenyewe wakajinadi sana sasa nataka nimuonje kaka yako nione zile sifa anakidhi au uongo?.....lol

Karibu sana my dia halafu navyokupendaga ila tatizo liko kwa mkewe Khantwe sijui utaweza kushare?????
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaa...hakyanani sikuwezi! Na kweli ukishindwa kutupia nakupeleka MLS!!

Unaona sasa mimi nilikuwa nakutega tu wewe utanichoka mapema!!..... Wewe mimi bado mbichi kabisa huyo Alexis haoni ndani yaani mi ni bonge la Striker bado tena hizo ligi zenu kama za England za midomoni hazinifai niko na ligi matata duniani tena kny vilabu vikubwa km Barca, R.Madrid,Bayern ......lol
 
Sweet nimempa dereva kadi yako tangia a Asubuh kaniambia yupo namanga. ..huyu ndorobo atakuwa namanga ya arusha

Ooooops nimechelewa!

Heri ya kuzaliwa ICHANA. Njoo nikupe zawadi ila usije na Mokoyo. Njoo peke yako.
 
Last edited by a moderator:
Unaona sasa mimi nilikuwa nakutega tu wewe utanichoka mapema!!..... Wewe mimi bado mbichi kabisa huyo Alexis haoni ndani yaani mi ni bonge la Striker bado tena hizo ligi zenu kama za England za midomoni hazinifai niko na ligi matata duniani tena kny vilabu vikubwa km Barca, R.Madrid,Bayern ......lol

Hahaha. Kwa hiyo ligi ya England huchezi kumbe!! Ujuwe ligi hiyo ni popular kuliko zote, inapendwa kuliko zote na ina pesa kuliko zote. Njoo uonyeshe maujuzi kwangu mummy, kama ni mshahara utapata kuliko huko uliko. .
 
Loh!!! Khantwe tena uwiiii!!! Haka katoto hakahitajiki kapate usaliti anyway Ngoja niende tu kwa Eli79 na nafasi yangu ya ustriker.....

Ewaaaaaa...hapo umenena!! Umeona thamani ya kukubaliwa, sio kwenda kukaa bench huko. Njoo huku, nakukubali kama mtupiaji wangu!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom