Happy birthday ICHANA

Happy birthday ICHANA

Valentina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
24,684
Reaction score
28,777
Siku,mwezi,mwaka na hatimae miaka sasa tangu uone sayari hii ya dunia. Ni jambo la kumshukuru Mungu amekuvusha kwa mengi mpaka kufikia siku yaleo unapoadhimisha kuzaliwa kwako rafiki yetu mpendwa.Kwaniaba ya The Golden group tunapenda kukwambia.Smile while you still have teeth. Many many happy returns of the day'

makoyo njoo utupe venue... Mr Rocky kitengo cha usafiri hope unakisimamia vema... miss chagga hiyo michango fanya haraka kuiwasilisha maandalizi yamebamba... Munkari hakikisha nyama za kutosha zipo... mshana jr simamia vinywaji vyote viwepo twafazali.. ladyfurahia white isikosekane ukumbini tafwazali.. Angelicious & charty msosi uwe on time

Wageni wote waalikwa sherehe rasmi itafunguliwa saa kumi na moja.

Karibu wote bila kukosa
 
Happy Birthday ICHANA
Mungu akuongezee miaka ya maisha yako na yakawe ya heri na fanaka
Hongera sana kwa siku yako hii ya leo 'Valentina' asante sana na nitakisimamia vyema kitengo husika
 
Last edited by a moderator:
Happy born day ICHANA, hongera umepunguza salio la kuishi naomba Mungu akuongeze salio jingine uishi milele, love you mwaaaaaa. Valentina usijali hapa niko jikoni naandaa mahanjumati
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday ICHANA
Mungu akuongezee miaka ya maisha yako na yakawe ya heri na fanaka
Hongera sana kwa siku yako hii ya leo 'Valentina' asante sana na nitakisimamia vyema kitengo husika

Nakuaminia katika hilo,ila dikembe kasema hana nguo mpya eti hawezi kuja sasa we msapraizi mfate umlete
 
Last edited by a moderator:
Valentina mpenz asante sana kwa siku hii ya leo sio kwa nguvu lwa akili bali kwa roho Mtakatifu....God know me before i born ..know plan n purpose .......ukweli nina kila sababu ya kumshukuru MUNGU ....
Dinazarde uje ukumbin na bend yako mwekundu zawadi yangu uje nayo usiseme umesahau

May you have lots and lots of birthdays mamii...halafu janeth1 na mumewe Mwanyasi walikuahidi gauni na viatu sijui wako kona gani
 
Last edited by a moderator:
Valentina mpenz asante sana kwa siku hii ya leo sio kwa nguvu lwa akili bali kwa roho Mtakatifu....God know me before i born ..know plan n purpose .......ukweli nina kila sababu ya kumshukuru MUNGU ....
Dinazarde uje ukumbin na bend yako mwekundu zawadi yangu uje nayo usiseme umesahau
daaaah aisee u busy haufai happy birthday babgirl.....!!
 
happy birthday to ICHANA..Happy new month..happy new day..mungu akupe kila haja ya moyo wako uliombalo kwake likatimie maradufu tunakupenda saana tafuta dawa ya kusafisha tumbo maana msosi wa leo si mchezo..love u!!!mwaaah
 
thanks much charty kwa ujumbe mzuri ...miaka yoote ijaliwe na hekima kama ya solomoni ...
mm kwenye kula wala usipate shida nakula kama mchwa pika kingi mm sivungi kwenye kula bby
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom