Happy birthday ICHANA

Happy birthday ICHANA

valle best acha tu leo ndo napata fahamu nipo visiwa vya sheli sheli ....huyu miss chagga na charty sio kabisa waliniambia nimetafutiwa hoteli mwanzio najikuta huku cjui hta kama papu ipo salama mtoto mie

Tobaa yarabi wamekufanyaje tena hawa!? Hebu fanya kumwita Asprin akague hiyo papuu kama iko salama
 
Last edited by a moderator:
yule babu joka la kibisa juzi nimemkimbia hta zawadi yake sikuchukua leo jion ntamcheki

Eti sikuhizi anajidai kapanda ngazi hataki used...sijui amekula maharage yawapi yule
 
hana lolote anaogopa mechi atafia kifuani.....babu harage ya mbeya moto moja tu akiona kyupi ..........

used nayo ina credi zake yako wewe ni screpa......btn i miss u babu

Hee! We babu ndio nini kujifanya matawi?

Eti sikuhizi anajidai kapanda ngazi hataki used...sijui amekula maharage yawapi yule

hana lolote anaogopa mechi atafia kifuani.....babu harage ya mbeya moto moja tu akiona kyupi ..........

Kumfanyia babu fitna, na kumsemasema hovyo ni kinyume cha katiba na dhambi kwa Mungu, if you understand what I mean.

PM yangu iko wazi kwa ajili ya kitubio.
 
ha haha as usual babu hataki kutumia nguvu tuje pm wenywe ...tuma nauli kwa valentna
 
Hako kabinti msamaha wake utapatikana kama kitubio chake kitafanyikia kitandani....
 
Back
Top Bottom