ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,766
- 3,595
thanks sweety....unarud lin tz i rly mic u
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
valle best acha tu leo ndo napata fahamu nipo visiwa vya sheli sheli ....huyu miss chagga na charty sio kabisa waliniambia nimetafutiwa hoteli mwanzio najikuta huku cjui hta kama papu ipo salama mtoto mie
Khaaaa......... aliyesema nakagua vitu used ni nani??
Eti sikuhizi anajidai kapanda ngazi hataki used...sijui amekula maharage yawapi yule
Miss you too darling.used nayo ina credi zake yako wewe ni screpa......btn i miss u babu
yule babu joka la kibisa juzi nimemkimbia hta zawadi yake sikuchukua leo jion ntamcheki
used nayo ina credi zake yako wewe ni screpa......btn i miss u babu
Hee! We babu ndio nini kujifanya matawi?
Eti sikuhizi anajidai kapanda ngazi hataki used...sijui amekula maharage yawapi yule
hana lolote anaogopa mechi atafia kifuani.....babu harage ya mbeya moto moja tu akiona kyupi ..........
ha haha as usual babu hataki kutumia nguvu tuje pm wenywe ...tuma nauli kwa valentnaKumfanyia babu fitna, na kumsemasema hovyo ni kinyume cha katiba na dhambi kwa Mungu, if you understand what I mean.
PM yangu iko wazi kwa ajili ya kitubio.
Miss you too darling.
Nimekuwozap umenichunia. Mi nakasirikaga mimi...
ha haha as usual babu hataki kutumia nguvu tuje pm wenywe ...tuma nauli kwa valentna
We nibanie tu. Siku utakaponipoteza mazima ndipo utakaponikumbuka.yaan msweeeet wozap haina mb piga kawaida kwa maana nina suprize yako
ICHANA my dearest nakufuata huko uliko nina haja nawethanks sweety....unarud lin tz i rly mic u
am there for u bby ila mbona hujatuma ile pesa nifanye shoping