Happy Birthday Jakaya Kikwete lakini..

Happy Birthday Jakaya Kikwete lakini..

Hbd dear brother
May Almighty God bless you!!!.
 
Happy Birthday Mwanakijiji wa Msoga J.M. Kikwete.
Allah azidi kukujaalia Afya njema, Hekima,Busara na Umri mrefu zaidi j
IMGu
 
Nakutakia maisha marefu mheshimiwa pia na furaha katika maisha yako, pia kupitia salaam zangu namuomba kijana wako Ridhiwani atusaidie wakazi wa mapinga kelege suala la maji maanake kuna hawa jamaa wanaokwangua barabara wametufanyia uharibifu mkubwa wa kung'oa mabomba ya maji na kuyaacha kama yalivyo, na ni karibia mwezi mzima wakazi hatuna maji na hakuna kiongozi yoyote anaejali si mwenyekiti tunaambiwa wakazi wa kelege tuchange pesa za kutengeneza mabomba kweri hii ndio haki na waliohalibu wameyatelekeza maji yanamwagika tu. salaam pia ziwafikie DAWASCO.
 
Leo Mzee wetu Jakaya Mrisho Kikwete ametimiza miaka 67. Tutammis sana enzi zake akiwa madarakani. Kustafu kwake kumenifanya lile Lexus RX330 niliuze bei ya Sun LG. Wale wageni wangu walioko apartment moja masaki niwapeleke Nyumba za wageni.

Kuondoka kwako umetuachia maumivu, watu mitaani tunauza viwanja Kama njugu mawe. Yule boss wangu TANESCOO kauza Nyumba oysterbay bei ya hasara kaenda kujenga Vyumba viwili Goba matosa.

Siku Hizi zile kupost sijui Nipo kempinsk na my family tunakula sausage hazipo maana utaulizwa unatoa wapi hela.
Siku Hizi post zetu ni Bwana asifiwe, inshaallah, majaribu ni mtaji, najua nitayaweza kwa jina lako. Tunaamini utarudi tena Madarakani.

Jamani ebu tumuwish MZEE wetu
HAPPY BIRTHDAY JAKAYA MRISHO KIKWETE
de453495f2e2a677ca25bca20ec0cb1d.gif
a5531bf2ff8f054023ed0ef4db4e9d25.jpg
1f8264eb47c57cf3fbf72ff65f5e44ba.jpg
66bbeda4e545f41402164e9bf0961e32.jpg
05b6d28795fbfa3e89c35f5df4d0ec04.jpg
6ee6b8b2cc0a663d89d10493af2f00bd.jpg
009299429808dfb21986390cc5f525ab.jpg
003e5689e384a1db4a40bbceab2ae35e.jpg
f35e8d4a2d3bd4bae6940c6b68519725.jpg
e5d476fea447f88965a6bbd110027f6f.jpg
66b0f007eab03f12d7436dd4c532d752.jpg


Note: TUNAAMINI UTARUDI TENA MADARAKANI..
 
CHADEMA mtamkumbuka sana na bado Magufuli ana miaka 8 amebakisha na ataongezewa mingine 10 na hakuna kufanya siasa mpaka kipindi cha uchaguzi mkileta fyoko fyoko chamoto mtakiona
 
Note: TUNAAMINI UTARUDI TENA MADARAKANI..
.
Mnatamani arudi madarakani? si ni nyie mlimuita raisi goigoi? si mlikuwa mnamtukana hadahrani mzee wa watu anajifanya hasikii? Isomeni namba tu sasa hivi, hakuna namna.
 
CHADEMA mtamkumbuka sana na bado Magufuli ana miaka 8 amebakisha na ataongezewa mingine 10 na hakuna kufanya siasa mpaka kipindi cha uchaguzi mkileta fyoko fyoko chamoto mtakiona

Watu wanamkumbuka au wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili kumnanga huyu aliyepo?
 
Heri ya sikukuu ys kuzaliwa,ndugu jakaya halfani mrisho kikwete
 
Daaah..! Kweli vyuma vimekaza..! Yaani mpaka kikwete leo anaonekana mtu mzuri..! Huyu ndo rais aliyetukanwa zaidi kuliko marais wote waliopita na hata huyu wa sasa...
yaani we acha tu!!

nakumbuka alipokuja obama mhariri wa tanzania daima, ngurumo, ambaye kwa hakika alikuwa anamchukia mno kikwete.....licha ya kuponda meeengi sana kwa makusudi kabisa kuhusu ziara hiyo, alifikia hatua ya kuandika hivi, ''obama anasapoti ushoga, hivi ikulu yetu itabaki salama?....akikosekana raisi vipi salma hatopatikana?''. hivi ndivyo alivyoandika mhariri huyu.....ni dharau na matusi ya kiwango cha juu kiasi gani haya!!!!! lakini mzee yule wa msoga licha ya kuwa na uwezo wa hata kumuoa kabisa huyu ngurumo, alimaliza muda wake bila ya kumdhuru kwa namna yoyote ile.....nafikiri ngurumo atakutana na matusi yake siku ya hukumu!

tulipokuwa na mgogoro wa kimipaka na malawi, ngurumo tena akaandika mengi kuwa raisi haijui mipaka ya nchi yake.......alipokuja kutoa hotuba mwenyewe, kila mwenye akili alielewa.

sijasahau na yale maandishi makubwa yaliyoandikwa katikati ya barabara ya rami pale dar, ''KIKWETE NCHI IMEKUSHINDA''.

sijazungumza kuhusu zomeazomea ya pale UDSM,....kuitwa dhaifu hadi mat.shirt yakachapishwa,....kuitwa mujahidinan.k.

leo hii anakumbukwa hiviiii, kweli watz wengi ni wanafiki sana aisee!!!!
 
"Mlisema mimi mpole...nachekacheka hovyo...sasa nimewaachia chuma...anamwaga !cheycheeeeeeee!"
 
Back
Top Bottom