Happy Birthday Jakaya Kikwete lakini..

Happy Birthday Jakaya Kikwete lakini..

Damushin, Khantwe, aminas

Wakuu,
Huwa tukasemaje "Happy Birthday" kinyumbani Korea?
Formal-Happy-Birthday-in-Korean.jpg

Saeng-il chuk-ha-hamnida
Saeng-il chuk-ha-hamnida
Sa-rang-ha-neun (jakaya kikwete) sshii
saeng-il chuk-ha hamnida
 
-Tanzania Rais mstaafu kipenzi cha watanzania anayekumbukwa kwa mambo mengi,ikiwepo elimu,afya na na maendeleo ya jamii,hasa siku ya Leo ya kuzaliwa kwake,alijari sana wanyonge bila kujitambulisha au kuongea kuwa yeye anajari ila alijari wanyonge tunakukumbuka sana Mr president
 
Attachments

  • IMG_20171007_190133_154.jpg
    IMG_20171007_190133_154.jpg
    56.1 KB · Views: 28
-Tanzania rais mstafuu kipenzi cha watanzania anayekumbukwa kwa mambo mengi,ikiwepo elimu,afya na na maendeleo ya jamii,hasa siku ya Leo ya kuzaliwa kwake,alijari sana wanyonge bila kujitambulisha au kuongea kuwa yeye anajari ila alijari wanyonge tunakukumbuka sana Mr president
Watanzania ni watu wa ajabu sana. Akiwa madarakani alifanyiwa dhihaka,dharau,kejeli na kumsema mambo mengi yasiyo na staha. Jee leo kunani?????
 
Rudi Baba....sasa tumejua wewe ni Malaika......
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana. Akiwa madarakani alifanyiwa dhihaka,dharau,kejeli na kumsema mambo mengi yasiyo na staha. Jee leo kunani?????
Ndio best president aliyewai kutokea tangu Tanzania kupata Uhuru,kama hakutendewa sawa wakati Yuko madarakan haizuii kwa sasa kufisiwa na kupendwa
 
Ndio best president aliyewai kutokea tangu Tanzania kupata Uhuru,kama hakutendewa sawa wakati Yuko madarakan haizuii kwa sasa kufisiwa na kupendwa
Mmechelewa sana maana sifa iliyochelewa kutolewa haina tam kama inayotolewa wakati stahili.
 
Huyu mimi wala hata simkubali wala kum miss. Yile Lofa LodiLofa mdiyo namkubali ingawa linaboa kichizi.
Namkubali Sana'a ebu tujikumbushe mazur ya jk udom,afya,moyo hospital,na Barbara daaaah jk I miss u
 
Tatizo la watanzania wengi ni wapumbavu na hawajitambui mimi tangu nizaliwe hakuna rais aliyeleta maendeleo nchi hii wote walifanya mazuri baadhi mabaya ndiyo mengi zaidi huyo unayemsifia leo kaacha watanzania wanahangaika na MAJI ELIMU MIUNDOMBINU HOSPITALI kaacha watoto wanakaa chini watu wanahangaika na jembe la mkono kuna sehemu hata gari haliwezi kupita kaacha yale yale walioyaacha wenzake hebu nipe sababu za kumuita rais bora ili hali kaboronga vibaya sana
 
Hakuna raisi asiyekuwa na strength na weakness. Haitusaidii Sasa hivi kuacha kujadili strength za JPM. Ana mengi mazuri.
 
-Tanzania rais mstafuu kipenzi cha watanzania anayekumbukwa kwa mambo mengi,ikiwepo elimu,afya na na maendeleo ya jamii,hasa siku ya Leo ya kuzaliwa kwake,alijari sana wanyonge bila kujitambulisha au kuongea kuwa yeye anajari ila alijari wanyonge tunakukumbuka sana Mr president

huyu ni fara.ndo aliyetuletea hili balaa lote.
 
alikua dhaifu. Udhaifu wake ulisababisha yafuatayo

pesa zilitafunwa, watu walijenga watu walikunywa,, sikusikia habari ya nyumba kuoigwa mnada wala hotel kubadilishwa matumizi

watu walidhihaki, walisafiri watakavyo, semina zilimiminika kama mvua ya mawe....

wakuu wa wiliya wapya walidiriki kukataa magari waliyo yakuta ofisini kuwa ni makuukuu
mikopo kwa wanafunzi fresh na wale walioko makazini kwa asilimia za kutosha

watu walijilipa posho za vikao kwa kadri watakavyo yet barabara zilijengwa, ajira zilimwaga kama njugu

huyo ndio mr dhaifu katika udhaifu wake.

na wewe taja mr strong kakusomeshaje namba...

Back
Top Bottom