Watanzania ni watu wa ajabu sana. Akiwa madarakani alifanyiwa dhihaka,dharau,kejeli na kumsema mambo mengi yasiyo na staha. Jee leo kunani?????-Tanzania rais mstafuu kipenzi cha watanzania anayekumbukwa kwa mambo mengi,ikiwepo elimu,afya na na maendeleo ya jamii,hasa siku ya Leo ya kuzaliwa kwake,alijari sana wanyonge bila kujitambulisha au kuongea kuwa yeye anajari ila alijari wanyonge tunakukumbuka sana Mr president
Rudi Baba....sasa tumejua wewe ni Malaika......-Tanzania rais mstafuu kipenzi cha watanzania anayekumbukwa kwa mambo mengi,ikiwepo elimu,afya na na maendeleo ya jamii,hasa siku ya Leo ya kuzaliwa kwake,alijari sana wanyonge bila kujitambulisha au kuongea kuwa yeye anajari ila alijari wanyonge tunakukumbuka sana Mr president
Ndio best president aliyewai kutokea tangu Tanzania kupata Uhuru,kama hakutendewa sawa wakati Yuko madarakan haizuii kwa sasa kufisiwa na kupendwaWatanzania ni watu wa ajabu sana. Akiwa madarakani alifanyiwa dhihaka,dharau,kejeli na kumsema mambo mengi yasiyo na staha. Jee leo kunani?????
Hahaha mkuu mm sijafika huko mkuuu nimemiss sana uyu rais bila yeye Mimi nisingepata degree na afya zisingefika kwetu ileje miss u Mr jk babaCCM mwenyewe hawana hamu na baba Bashite.
Mmechelewa sana maana sifa iliyochelewa kutolewa haina tam kama inayotolewa wakati stahili.Ndio best president aliyewai kutokea tangu Tanzania kupata Uhuru,kama hakutendewa sawa wakati Yuko madarakan haizuii kwa sasa kufisiwa na kupendwa
Tuanzishe kampeni ya JK back jmn kwani katiba hamluhusu kuludi madalakani baada ya muda wa mika 10 kupita jmn miss Mr rais jkRudi Baba....sasa tumejua wewe ni Malaika......
Namkubali Sana'a ebu tujikumbushe mazur ya jk udom,afya,moyo hospital,na Barbara daaaah jk I miss uHuyu mimi wala hata simkubali wala kum miss. Yile Lofa LodiLofa mdiyo namkubali ingawa linaboa kichizi.
No tunamiss woteee asirimia 75% watanzania wanamissAliwacheka mkamuona lofa sasa namba inasoma eti?
-Tanzania rais mstafuu kipenzi cha watanzania anayekumbukwa kwa mambo mengi,ikiwepo elimu,afya na na maendeleo ya jamii,hasa siku ya Leo ya kuzaliwa kwake,alijari sana wanyonge bila kujitambulisha au kuongea kuwa yeye anajari ila alijari wanyonge tunakukumbuka sana Mr president