Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Niliwahi kusikia hii tarehe wana mapenzi ya dhati,wakipenda huwa hawa cheat ,ilimradi tu uwe na mkwanja!!lol

Inawezekana.najua kupenda sana hadi naogopa!sijui kucheat maana sijui kudanganya mi mkweli daima.mkwanja kila MTU anapenda mkwanja ndo maana asubuhi tunaacha stare he zote kusulubika tupate mkwanja
 
Back
Top Bottom