Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

ona sasa umechelewa mpaka tumepishana masaa.Uvivu wako wakutoka umesababisha yote hayo.
August 14

Loooh!!! Da kidogo tu mwaka huu ning'ekutafuta tufanye super collective birthday party. Ngoja niwait labda nitampata wa kufanana naye
 
Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members’ kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.

Mimi, August 15.


aisee hata mimi ni 15 august
 
Back
Top Bottom