Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Yaa its true Stevepedia Am happy to find ma twin frm jf
 
Last edited by a moderator:
Mie ilikuwa nizaliwe 30 February. Nikaona isiwe tabu, nikambembeleza mama, nikamhonga na hela kiduchu akanileta duniani January 21.

I love you Mama.

Mkuu unanipa raha ingewezekana hiyo basi ni raha tupu.

Mama I love u so much and I miss u badly
 
Back
Top Bottom