mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
30 sept ndio hakunagaa au??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.
Mimi, August 15.
Daahh ahsante npo hapa pia 19th of October19 October
Pacha angu siyoDaahh ahsante npo hapa pia 19th of October
Daaaa umenikosa kidogo29 sept
Anyway we ni my bro..Daaaa umenikosa kidogo
Yeah pacha niajePacha angu siyo
Duh kidogo tu....15october
Geuza iyo tisa basi iwe sita..29march