Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Sisi wa 29 February inakuwaje wandugu Hii tarehe ni adimu sanaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tarehe hii huwa adim sana kuna miaka mingine unapita bila kukumbuka siku yako ya kuzaliwA
 
Jamani DECEMBER 17 pacha wangu nakutafuta etiii...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…