wale wa timu may nilikuwa ninawazo tutengeneze group ya Team may na iwe group hasaa tuwe twasaidiana kimawazo pia tutateua siku moja ya mwezi may na kufanya sherehe ya pamoja28 may
Birth day mate wa kwanza huyu, ila tarehe ya mwisho kuview forum ni 20148 February
Tupo pamoja
Thank you....happy birthday dear
24th april24th April
Taurus man....24th april
Sept 27jamani wa september hakuna hum ndani