Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bi dada upo wewe?
Wewe ndo ulikuwa na haraka ya kuzaliwa bana utadhani yai la kuku lililotimiza siku 21....teh teh
Yaani nimesoma zote hapa ndo nimekupata wa hii tarehe nahisi tupo wachache sana
Hahaaaaa umenichekeshaa mpaka basi..
8/8
Nalog off
Usijali tutazaliwa pamoja hiyo siku yako atug.
Babuuuu...then siku 7 baadaye mjukuu mtiifu nikazaliwa...
28/01.
June 19.
Sasa nimeamini, wote waliozaliwa January ni majinias afu wana ngekewa ile mbaya.
Tutafute average tusheherekee siku moja. Nakupa kazi utafute mabinti wawili warembo waliozaliwa January wawe wageni rasmi kwenye vitanda vyetu.
cc Preta kwa msaada
bcc Nicas Mtei kwa taarifa
21 June
Au tuzaliwe wote siku yako i hv no problem wit that