Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Ahahahahahahaha babuuuu kwa utekelezaji. Hivi nani na nani wale vipi!?? Ngoja nikaone hepi besidei zao.

Af tarehe ya kati ni 25 January, Kebby's...lol

Good boy.

Hakikisha Vín Diezel haujui huu mpango mkakati. jamaa jambazi sana yule atatuharibia move.
 
Sasa nimeamini, wote waliozaliwa January ni majinias afu wana ngekewa ile mbaya.

Tutafute average tusheherekee siku moja. Nakupa kazi utafute mabinti wawili warembo waliozaliwa January wawe wageni rasmi kwenye vitanda vyetu.

cc Preta kwa msaada

bcc Nicas Mtei kwa taarifa

Ahaaaaa.......ule mwezi wetu wa kijanja ndio huu eeeh.......hii inabidi kumbukumbu iwepo........

Cc.... FirstLady1
 
Last edited by a moderator:
loh.... December haina raia kabisa...
Haya jamani yaonekana nipo mwenyewe
13th, dec.
 
Loh!! Mpaka page ya 30 sijampata twin wangu, tarehe 24 January njooni bwana
 
Back
Top Bottom