Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Nimefeli labda ningeona sura yako ningeotea[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu,si unitazame uzuri hapo kwenye avatar yangu,siko mbali saaana na kinachoonekana hapo kwenye avatar[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu,si unitazame uzuri hapo kwenye avatar yangu,siko mbali saaana na kinachoonekana hapo kwenye avatar[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] una kichwa kama bonde la mpunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…