Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Nimefeli labda ningeona sura yako ningeotea[emoji1] [emoji1] [emoji1]
dd2e1f8aa90a818ddbed872d30209428.jpg
6a71ea909260a739da4c669633d06679.jpg
090acda7415322e32f65df41f732a18e.jpg
9733d242cff7efc7fa2ba06e6e5f9402.jpg
Hizo mambo uliza tupia zina ashiria wewe ni ke vilee[emoji3] [emoji3] .

Hope hiyo tarehe 23 utani tag.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Nimehangaika kwa kila njia kutafuta ukweli juu ya uzi huu nimepata majibu tofauti tofauti lakini linalojitokeza kila mara ni kwamba kuna baadhi ya tarehe na siku ambazo ni nzuri sana kwa makafara ya kifreemason, kwa hiyo wanatafutwa watu waliozaliwa siku hizo ili watumike kwa manufaa na mipango ya ki-Freemason.
January 8 inawafaa hao mafreemason
 
Back
Top Bottom