Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Hahahaaa. Eti umelia Paaah.

Hongera sana aiseee. Ila bado nimekuacha mbali sana aiseee. Sijui kama sio umri wa mwanangu weye jirani. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12].

Mie 195..... [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Hahahha kama risasi... Baada ya kunitabiria kizaz cha Mkapa.

Muogope Mola jirani. Japo ID fake zinatubeba ila Mola hapendi[emoji33][emoji33]
 
Screenshot_2018-10-11 Pinterest.png
 
Back
Top Bottom