Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Duh baada hii thread ndeefu ndo nimeona mtu pekee niliye share nae birth day.... ,pia experience inaonyesha watu tuliozaliwa hii tarehe ni watu wapole kweli, sijui uko kwako mwenzangu [emoji3][emoji3]
Wala hujakosea age mate wangu. Mimi ni mpole sana labda unichokoze
 
Back
Top Bottom