Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.

Mimi, August 15.
Tumepishana siku mbili mkuu. Ulitangulia kidoogo, labda b mkubwa wako alizidiwa na uchungu kiasi😊😊
August 17
The day that the Lion is roaring to magnify his majesty
 
Next Saturday


August 22
Today is my birthday, and by God, I shall treat myself like a King. even if it's just for one day. I feel deep within my heart that this special day is going to mark the beginning of a wonderful year for me. Happy birthday to me. I just want to thank God for keeping me alive to see this special day of mine.
 
Back
Top Bottom