Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Mimi, Elon Musk, De Bruyne, na nani mwingine huku...?

Tulizaliwa 28 June miaka fulani.

Na katika historia June 28, 1914 aliuawa kijana mwana mfalme wa Austro-Hungary Sarajevo na mke wake Sophie waliuawa, ambapo ni kisababishi pia cha vita ya kwanza ya dunia
Ambapo miaka mi5 baadae iliyokamilika June 28, 1918 ulisainiwa mkataba wa amani, Versailles Peace Treaty wa kumaliza vita ya kwanza ya Dunia.

Kwahiyo hii tarehe ina makubwa..
Mtag mwana June 28 unayemfahamu👇
 
Back
Top Bottom