Watu wakiwa kabla ya 25 wanapenda kutaja umri zao, wakishafika 25, wanakuwa wagumu kutaja, ila wakifika tena 60 wamakuwa happy kutaja, kabla hata hawajaulizwa...
Kwanini inakuwa hivo???
Heee....... Lazima niende makumbusho nami nikajiweke kwenye makumbusho ya taifa kwakuzaliwa mwezi na tarehe ya peke yangu nchi nzima.
Mie ilikuwa nizaliwe 30 February. Nikaona isiwe tabu, nikambembeleza mama, nikamhonga na hela kiduchu akanileta duniani January 21.
I love you Mama.
June 23.....
hebu acha masihara mrembo.......Babu is my twin
Grandpa/Granddaughter Birthday.......:violin:
O7 september
Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.
Mimi, August 15.
9 july
Mbona mimi tarehe zangu sizioni
1st April
28th december