Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Nimepitia humu nimegundua hata pacha wangu hajajiunga JF, 11/11 anatafutwa
 
Pacha wangu sijampata, labda sasa nitafute watu wenye umri moja na mimi wawe mapacha zangu.
 
November 4 jamani mbona sioni pacha wangu humu?
 
31st march. hii tarehe adimu sana kwa watoto kuzaliwa. nimechelewa kuona thread, ila I would like to meet my twin jamani kama yupo humu JF
 
Mmh....sijui na mimi sina pacha. Taurus babies wenzangu... wa May 13 jamani...
 
Tuko, habari ni hii:

...na si vinginevyo.

Watu wakiwa kabla ya 25 wanapenda kutaja umri zao, wakishafika 25, wanakuwa wagumu kutaja, ila wakifika tena 60 wamakuwa happy kutaja, kabla hata hawajaulizwa...
 
Back
Top Bottom