at last nimekupa my twin, nlishakata tamaa.Jaribu yangu April 14,karibu tuzaliwe pamoja mamii.
pacha wako ni Nyaluhusa87sie wa tar 2nd December, Paw
Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.
Mimi, August 15.
kumbe! mambo pacha!
mada si imesomeka? Tuanze basi, mambo? hi! i see... i like ur avatar!16 april
at last nimekupa my twin, nlishakata tamaa.