Fanuel Mazze
Member
- Oct 29, 2014
- 41
- 13
Mie ilikuwa nizaliwe 30 February. Nikaona isiwe tabu, nikambembeleza mama, nikamhonga na hela kiduchu akanileta duniani January 21.
I love you Mama.
Nani kazaliwa tarehe 2 March?
Here am
Nani kazaliwa tarehe 2 March?
Waooooooo!! My twin mambo?
Sijambo cute B.... Tatizo keki ishakatwa mda aisee
Waooo! Pacha wangu hongeraaaaa...
Ila nimekuzidi umri
mhmh mm nmekuzd
Hahahaaa kwani wewe ni tisini na ngapi?
Hahahaaa kwani wewe ni tisini na ngapi?