Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

halafu nikishajiunganisha kuna pesa ama ni ujingaujinga wa watoto wa shule.......


kama mkwanja upo sawa
 
Jamaaani...sijui nlikuwa naharakia ninii, si ungekuwa pacha wangu...

Ila team September full mabazazi, hadi weye?

ndio nashangaa sijui ulikuwa unawahi wapi...
team la watu wengi..tukianza birthday party tarehe moja ni mpaka 31
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…