Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Hahahaaaa kaka Mentor umenifanya nikakumbuka ule wimbo wa agosti 13, sijui umewaza nini!

Hata mimi nimeukumbuka ndo maana nimemuandikia hivyo.

Aisee afadhali nimekuja huku leo walau Jumanne ntakula keki. PM me lokesheni ya pati.
 
Hahahaaaaa! Party tumewaachia watoto, na uzee huu sahivi nawaza tu ada za bandugu hapa, hata wazo la party hakuna!
 
Back
Top Bottom