Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Nisaidie kumtafuta! Nan mwingine humu aje

Ngoja nimwombe twin wangu Preta anisaidie.



Heheheh...nimemtaja ili kukuringishia tu kuwa mi nnaye! Hivi twin ake, hatujapata wengine tu? hepi besdei yetu imekaribia ujue....
 
Where are the true libra? September born seems to be few in here!
25th Sept where are my birthday mates
 
Najaribu kuwaza tu...unaweza kuta mtoa mada mwenyewe mpaka leo hajapata pacha wake aise. Hivi kwamtoro, vipi ulifanikiwa kupata wa tarehe yako!???
 
Back
Top Bottom