Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

kwa kukuangalia tu nadhani tuko wote, kwani wewe tarehe ngapi vile?
 
Ngoja nimwombe twin wangu Preta anisaidie.

Heheheh...nimemtaja ili kukuringishia tu kuwa mi nnaye! Hivi twin ake, hatujapata wengine tu? hepi besdei yetu imekaribia ujue....

He he....twin.....hii ya mwaka huu twende Hawaii nini....?....unajua tunazidi kusogelea nanihii.............
 
He he....twin.....hii ya mwaka huu twende Hawaii nini....?....unajua tunazidi kusogelea nanihii.............

Maui....Honolulu...Oahu...Kauai ama wapi speciffically twin! #bucketList
 
Back
Top Bottom