hibiscus interior
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,168
- 595
Hiv wewe wa 2nove ukogo wap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uckonde sister just kkumbushana 2,mwaka huu lazima tupambe kisha tusherehekeeTutapanga Mkuu,nami nimefurahi siku hiyo tusherehekeeeee weeeeee
Ulikuwa na haraka kweli ya kuwahi kutoka....si ungesubiri hadi 14 April tutoke pamojaa??march 14
Ulikuwa na haraka kweli ya kuwahi kutoka....si ungesubiri hadi 14 April tutoke pamojaa??
Sent from my GT-I9100 using JamiiForums mobile app
Tupooooo twin 🙂Jamani wa 1st December wapi ?
Twin wangu hatimaye nimempataNov 15
Saffii,hatimaye twin wangu kapatikana.Tupooooo twin 🙂
May 25thMay 22
mimi 17 mwezi 11Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.
Mimi, August 15.
24 AprApril 21 mwenzangu queen elizabeth.......
Wow!same as me!24 Aprnimempata mwenzangu,birthday party wapi?
Dah!2ko wa3 24 aprl eeehTutapanga Mkuu,nami nimefurahi siku hiyo tusherehekeeeee weeeeee
Dah!kiduuuchu!umeniwah!24 Apr20 April
Wa nini kivipi?Sasa mimi wa nini tena??