Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Huu uzi makhususi kwa wana Jamii forums members’ kujuana na mwenzake vizuri. Unacho takiwa kufanya ni kuandika siku yako ya kuzaliwa pamoja na mwezi.

Mimi, August 15.
kuna mtu wa mambo ya nyota kuna vitu vya ajabu ameniambia kuhusu tarehe yangu ya kuzaliwa nmecheka sana ila kuna kitu kakisema kuwa eti watu waliozaliwa tarehe yangu nmebakia pekee yangu,nkashtuka (19 April) kuna mtu humu kazaliwa hii date, nmekosa
 
Back
Top Bottom