Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,129
Maana nimeangalia page zote eti hakuna wa Dec 19?!! unbelievable [emoji45][emoji45][emoji30][emoji30].Itakuwa tulizaliwa wenyewe mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana nimeangalia page zote eti hakuna wa Dec 19?!! unbelievable [emoji45][emoji45][emoji30][emoji30].Itakuwa tulizaliwa wenyewe mkuu
Like me, nimetafuta nimepost mara mbili bt cjamkuta..let us assume wer twinsMaana nimeangalia page zote eti hakuna wa Dec 19?!! unbelievable [emoji45][emoji45][emoji30][emoji30].
Haha poyeeeeHeaven ulikuwa na kiherehere kuzaliwa...yaani umeniacha siku mbili tu daah![emoji17]
#TeamSaggitarius##Not that.... i mean Zodiac or let me show you this View attachment 400842View attachment 400843 This is about Us who were born in December [emoji5]
Kwa kweli when it comes to loyalty, we live by that shitKasome sifa zetu Saggitarius kabla ya yote tuko very loyal.
Afadhali na mm nimeona mwenzangu duh:tarehe hii kazaliwa braza Michael Jackson29 August.
Asante...Haha poyeeee
Tupoooo....[emoji4][emoji5]#TeamSaggitarius##
Sio mbaya, uliwahi kuliona jua kabla yanguDaaaaah yani umeniwahi siku tu mimi Dec 19.
Mwaka lazma tumetofautianaSio mbaya, uliwahi kuliona jua kabla yangu
C afathal ninyi angalau mumeonana wawil hata kama wote ni wadada [emoji2]Itakuwa tulizaliwa wenyewe mkuu
Wewe je umempata mwenzako mkuuC afathal ninyi angalau mumeonana wawil hata kama wote ni wadada [emoji2]
Eeh shoga umempata mwenzanguMwaka lazma tumetofautiana
Hamna bado tumetofautiana siku moja tu.Eeh shoga umempata mwenzangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hamna bado tumetofautiana siku moja tu.
Balaa yani...hakuna wa 19Dec ni ajabu sana aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikupe aidia nyingineBalaa yani...hakuna wa 19Dec ni ajabu sana aisee