Walad Amin
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 287
- 87
27 Sept
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FREEMASON ni Propaganda iliyotungwa na watu tu kama ilivyo habari ya Dragons na VampiresNimehangaika kwa kila njia kutafuta ukweli juu ya uzi huu nimepata majibu tofauti tofauti lakini linalojitokeza kila mara ni kwamba kuna baadhi ya tarehe na siku ambazo ni nzuri sana kwa makafara ya kifreemason, kwa hiyo wanatafutwa watu waliozaliwa siku hizo ili watumike kwa manufaa na mipango ya ki-Freemason.
Happy birthday twin23 January
Ungerudisha tarehe nyuma tungekuwa saawa yaanMmh yaan sijapata bado aliye zaliwa tarehe 9/03
happy birthday dear23january
Mkuu pamoja sana...June 25 pia!!25 june
Mkuu..June 25 pia!!25 June