Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Hivi mkuu ulishawahi ku-google watu maarufu waliozaliwa 25 Feb ? Wengi ni watngazaji wa tv, waigizaji sinema na wanasema sanaa ndiyo kazi yetu....sasa mimi sipo kwenye sanaa na huwa najiuliza labda ndio maana sifanikiwi?
Nikweli mkuu wengi ndio fani zao japo kua mim sikohuko. Nafikr sababu tuko waongowaongo sana ndoamana mambo yasanaa tunayamudu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
June-10.png
 
Back
Top Bottom