Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Huu Uzi ulinikutanisha na pacha zangu wawili japo sijui ndo kusema umri umeanza kututupa au ndo tuko busy na maisha 😂😂 yaani tumezaliwa tarehe 07 June lakini ongezeko la mwaka kwa mwaka huu imetupita bila hata kuonana. Lol.

Cc. Pacha zangu MBIIRWA na Joanah. 😍
Mimi nina pacha humu. Ila nilovyopotea miaka km 4 hivi, tukapotezana. Bora wewe Shadeeya unawakumbuka, mimi sikumbuki.
Narudia 20/6
In Mtoto halali na hela voice 😅😅😅😅
 
Mimi nina pacha humu. Ila nilovyopotea miaka km 4 hivi, tukapotezana. Bora wewe Shadeeya unawakumbuka, mimi sikumbuki.
Narudia 20/6
In Mtoto halali na hela voice 😅😅😅😅
Usijali My Dear utampata tu labda kama awe hatumii sana Jf kwa sasa.

Huyo Mtani wetu Mtoto halali na hela tumwambie tu aongeze sauti kwani inavyoonekana hata wa habati mbaya bado hajampata. Teh teh. 😂😂
 
Back
Top Bottom