Chujio
JF-Expert Member
- Jun 17, 2013
- 1,368
- 2,108
jamani wa september hakuna hum ndani
Tupo mamii... hali yako inaendeleaje?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani wa september hakuna hum ndani
april 24
waooh my blood sis is 16 july....
we ni mwezi gani lakin
Tupo mamii... hali yako inaendeleaje?!
tuko pamoja wangu! september seven bana!!
happy birthmonth to us!!!
happy birthmonth to us!!
happy birthmonth to Excel and Heaven on Earth...!! (hapo kwenye majina, vuta sauti kidogo ulete mvuto!!! sawa?)
Good....wewe ni mwezi gani?
September 26
tuko pamoja wangu! september seven bana!!
happy birthmonth to us!!!
happy birthmonth to us!!
happy birthmonth to Excel and Heaven on Earth...!! (hapo kwenye majina, vuta sauti kidogo ulete mvuto!!! sawa?)
Umenipita kidogo sana
Happy birthyear kaka, nani amezaliwa mwaka kama wangu?
nimekupita sana inabidi uwe unanipa shikamoo
hahahaa Happy birthmont to me and u.............
nina furaha sana tu
hahahaa!! kaka miaka siri bana! hapa ni date and month kwanza!
miaka twaambiana kwa private talk..!
mambo vipi lakini?