Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

itabidi nisubirie besti ila kuna mtu mjengoni humu ananitafutia ubaya
yaani ni mchokozi na anataka nigombane naye tena mara 2 nami sitaki
kwani ni mwaka mpya sijui nimemkosea inini na wakati sina mpango naye
nisaidie bestito nimfanyaje mtu huyu?
subiri mwaka huo
 
Last edited by a moderator:
kama umezaliwa oktober ina maana mimba yako ilipatikana jan..sasa jan nani anagegeda mambo yalivo vuluvulu! hiyo raha ya kumpanda mtu hadi mimba itatoka wapi jan?nadhani upo alone njoo tuungane shost tufatute average ya birthday date zetu

Ndiyo maaaaaana wengi humu ni wa August na sept kumbe ni matokeo ya cristmas holidays!!! Dah!!
 
Back
Top Bottom